Skip to main content
Skip to main content

Maandamano Tanzania: Je, Gen-Z watasalia majumbani Disemba 9?

  • | BBC Swahili
    21,393 views
    Duration: 10:06
    Serikali ya Tanzania imewataka wananchi kusalia majumbani kesho Disemba 9, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Uhuru wa Tanganyika. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kufuatia kuibuka kwa taarifa za wito wa maandamano unaosambaa kupitia mitandao ya kijamii, hatua iliyoifanya serikali kuongeza tahadhari kuelekea siku hiyo muhimu ya kitaifa.