Maandamano ya Gen Z: Samuel Kinyajui atolewa risasi baada ya kuishi nayo kwa zaidi ya siku 400

  • | NTV Video
    1,033 views

    Baada ya kuishi na risasi kwa zaidi ya siku 400 kutokana na maandamano ya Gen Z ya mwaka 2024, kwa sasa Samuel Kinyajui mwenye umri wa miaka 30 anaweza kutabasamu baada ya Hospitali ya Ladnan kumtolea risasi hiyo ambayo ilikuwa ikimzidishia uchungu na kutatiza shughuli zake za kila siku.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya