Maandamano yasitishwa huku biashara zikifunguliwa jijini

  • | KBC Video
    186 views

    Hali ya kawaida ilirejea leo katikati ya jiji la Nairobi huku maandamano ya kupinga serikali yaliyotarajiwa leo yakiklosa kuendelea na hivyo kutoa fursa ya kufunguliwa kwa biashara na shughuli za uchukuzi kurejelewa. Hata hivyo, polisi walishika doria katika maeneo mbalimbali na kwenye majengo ya serikali ikiwa ni pamoja na Bunge, Mahakama kuu na barabara zote zinazoelekea Ikulu. Giverson Maina ana taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive