Mabalozi wa mataifa tofauti wapiga jeki juhudi

  • | Citizen TV
    1,201 views

    Kaunti zinaendelea kubuni mbinu mbadala za kuongeza mapato huku kaunti ya Lamu ikiwavutia mabalozi wa mataifa mbalimbali na waekezaji kushirikiana nao kutekeleza miradi ya maendeleo