- 9,101 viewsDuration: 1:57Mabinti walioko vyuoni wanapaswa kuwa mfano bora kwa wasichana wadogo wanaowaangalia kama kioo cha jamii, kwa mujibu wa mwanaharakati wa vijana Luciana Massawe @ciana_massawe. Anasema baadhi ya wanafunzi huingia kwenye mahusiano kwasababu ya mahitaji ya kifedha, na kuwataka vijana kutumia fursa za chuo kujijenga na kujitegemea kiuchumi. Kupitia @unigirlspower.tz, Luciana analenga kuwawezesha wanafunzi wa kike kupitia ushauri, stadi za maisha na ujasiriamali. Katika kipindi cha Waridi wa BBC, amezungumza na mwandishi wa BBC @Elizabethkazibure. 🎥 @bosha_nyanje Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw