Skip to main content
Skip to main content

Mabwawa 5 makubwa ya umeme Afrika: Nyerere la ngapi?

  • | BBC Swahili
    21,790 views
    Duration: 4:12
    Je, megawati 2,115 zinaliifanya bwawa la umeme la Julius Nyerere kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya umeme wa maji Afrika? Na ni miradi ipi mingine mikubwa kwa uwezo wa kuzalisha umeme Afrika? Hii hapa ni miradi mitano mikubwa ya umeme Afrika. @kenanivictor anaelezea #bbcswahili #nishatiafrika #umemewamaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw