1 Dec 2025 10:39 am | Citizen TV 3,496 views Duration: 3:45 Machifu na manaibu wao 1,837 wanafuzu leo baada ya kukamilisha masomo ya utawala, sheria na usalama. Rais William Ruto anaongoza mahafali hayo katika chuo cha mafunzo ya polisi bewa la Embakasi hapa jijini Nairobi.