Skip to main content
Skip to main content

Machifu na manaibu wao 1,837 wahitimu Embakasi ambamo wamefunzwa utawala, sheria na usalama[Part 2]

  • | Citizen TV
    2,544 views
    Duration: 4:11
    Machifu na manaibu wao 1,837 wanafuzu leo baada ya kukamilisha masomo ya utawala, sheria na usalama. Rais William Ruto anaongoza mahafali hayo katika chuo cha mafunzo ya polisi bewa la Embakasi hapa jijini Nairobi.