Skip to main content
Skip to main content

Machozi ya furaha yaligeuka kuwa ya uchungu

  • | BBC Swahili
    21,136 views
    Duration: 2:20
    Baada ya kupata mtoto mwenye utindio wa ubongo, furaha ya kuwa mama ilichanganyika na maumivu na changamoto za malezi. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, @Rehema_Simfukwe, mama wa Dorcas mwenye umri wa miaka saba, ameigeuza safari yake ya kumlea binti yake kuwa chanzo cha matumaini kwa familia nyingi zinazopitia changamoto kama hizo. Ameanzisha kituo kinacholenga kuwasaidia watoto wanaoishi na utindio wa ubongo na familia zao. Rehema amemsimulia @martha_saranga safari yake ya malezi, changamoto alizokutana nazo na jinsi uimbaji wa nyimbo za Injili ulivyokuwa sehemu ya safari yake na kumwezesha kuwasaidia wengine. 🎥 @bosha_nyanje na @brianmala Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw