Skip to main content
Skip to main content

Mackenzie na wenzake walihusika mauaji ya watoto 190 Shakahola. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    29,927 views
    Duration: 28:15
    Mahakama nchini Kenya imempata na hatia Paul Nthenge Mackenzie na wenzake 28 kwa kuhusika katika mauaji ya watu 191 - ambao ni watoto 190 na mtu mzima mmoja katika mojawapo ya vifo vinavyohusika na madhehebu ya kidini duniani. Tukio hilo lilifanyika kati ya mwaka 2021 na 2023. Takribani watu 429 walifariki kwa kufunga kula na kunywa katika msitu wa Shakahola, katika pwani ya Kenya. #Shakahola #Mackenzie #Kenya #BBCSwahili #BBCDiraYaDuniaTV #bbchabari leo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw