Madaktari wanafunzi wataka mazingira bora ya kazi

  • | Citizen TV
    335 views

    Muungano wa wauguzi nchini (KUCO) sasa imetoa makataa ya wiki moja kwa serikali kushughulikia malipo na mazingira ya kazi kwa madaktari wanafunzi nchini.