9 Oct 2025 7:54 pm | Citizen TV 6,235 views Duration: 48s Madalali hii leo walifumania boma la mbunge wa Naivasha Jane Kihara na kuchukua vitu mbali mbali ikiwemo gari na mifugo