Skip to main content
Skip to main content

Madarasa maalum yazinduliwa kwa wanafunzi wenye ulemavu Wundayi

  • | Citizen TV
    35 views
    Wazazi walio na watoto wenye mahitaji maalum katika kaunti ya Taita Taveta wametakiwa kuwapeleka watoto hao shuleni badala ya kuwatelekeza nyumbani.. Maafisa kutoka hazina ya kitaifa ya watu wanaoishi na ulemavu wakisema wanaendelea kujenga shule maalum katika maeneo bunge yote 290 ili wanafunzi hao wapate elimu bora.