Skip to main content
Skip to main content

Madereva wa matatu watishia kugoma jumatatu

  • | Citizen TV
    781 views
    Duration: 1:28
    Madereva wa magari ya uchukuzi wa umma wametishia kuanza mgomo jumatatu ijayo. Chama cha wamiliki wa matatu kimesema mgomo huo unalenga kupinga kile walichokitaja kama uzembe wa serikali kushughulikia visa vya magari kuchomwa na wahudumu wa bodaboda.madereva wa matatu wameitaka serikali kuchunguza kwa kina mashambulizi hayo na kuhakikisha wahusika wanakamatwa na kuchukuliwa hatua zakisheria.