Skip to main content
Skip to main content

Maduka makubwa yaweka vikwazo kuhusu kiasi cha maziwa ambacho mteja anaweza kununua kwa wakati mmoja

  • | NTV Video
    116 views
    Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa, Kenya imekuwa ikikabiliwa na uhaba wa maziwa. huku tatizo hilo likiendelea, maduka makubwa yameanza kuweka vikwazo kuhusu kiasi cha maziwa ambacho mteja anaweza kununua kwa wakati mmoja. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya