Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya wakaazi wa Maembeni wakosa makao baada ya mto Nyando kuvunja kingo zake

  • | Citizen TV
    5,199 views
    Duration: 2:52
    Zaidi ya familia mia tatu kutoka kijiji cha Maembeni kaunti ya Kisumu zimesalia bila makao baada ya mto Nyando kuvunja kingo zake Jumatatu usiku. Wakazi hao wakitaka vizuizi vya maji kujengwa ili kuwaokoa kutokana na mafaa zaidi. Mazao ya ekari zaidi ya mia tatu pia ilisombwa na maji katika kaunti ya Baringo huku mto Tana pia ukivunja kingo kutokana na mvua inayonyesha.