Skip to main content
Skip to main content

Maelfu ya watalii wamimika ufuo pwani kusherehekea Pasaka

  • | Citizen TV
    1,036 views
    Duration: 2:46
    Maelfu ya watalii wamemiminika pwani kusheherekea pasaka katika fuo za bara hindi. Maeneo ya pirates yamefurika huku ladha ya vyakula vya pwani ikipapasa matumbo ya watalii wa humu nchini na kigeni. Sekta ya hoteli pia imerekodi ongezeko la wateja huku usalama ukidumishwa katika fuo za bahari.