Mafundi kutoka Kisumu wakaribisha agizo la KMA kuhusu kusajiliwa upya kwa wajenzi wa mashua

  • | Citizen TV
    1,932 views

    Mafundi wa mashua kutoka ufuo wa Dunga kaunti ya Kisumu wamekaribisha agizo la mamlaka ya mabaharia nchini - KMA, kuhusu kusajiliwa upya kwa wajenzi wa mashua.