- 367 viewsMsichana wa miaka saba ameaga dunia kutokana na mafuriko katika Eneo la madogo kaunti ya Tana River. AIDHA wakazi wa eneo la Boji wanahofia maafa zaidi kufuatia mvua inayonyesha katika eneo hilo, baadhi yao wakiwa tayari wamepoteza sehemu kubwa ya ardhi yao..Na kama anavyoarifu Feisal Abdirahman baadhi ya familia zilizoathirika zinakosoa serikali ya kaunti kwa kuchelewa kuchukua hatua za kukabiliana na hali hiyo.