Skip to main content
Skip to main content

Mafuriko yatatiza Kitengela na kulazimu baadhi ya wakazi kuhama kwao

  • | Citizen TV
    1,326 views
    Duration: 2:13
    Baadhi ya wakazi wa Namanga kaunti ya kajiado wamehamishwa kutoka kwao kwa sababu ya mafuriko. Mvua kubwa ilisababisha mito na mitaro ya majitaka kujaa na kueleleza maji katika baadhi ya makazi. serikali ya kaunti imeanza mipango ya kuwasaidia waathiriwa huku tathmini ya uharibifu ikiendelea.