- 8,152 viewsDuration: 17sMafuriko hayo yalitokea kufuatia Kimbunga Bavi, dhoruba yenye nguvu zaidi kuikumba China mwaka huu. Kimbunga hicho kilisababisha mvua kubwa katika pwani ya mashariki na upepo mkali katika miji yenye msongamano mkubwa wa watu. Takriban watu milioni mbili wamehamishwa kutoka maeneo yaliyokumbwa na kimbunga hicho. #bbcswahili #foryou #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw