Vijana wamehimizwa kuwa wabunifu katika kutafuta suluhisho za kimazingira ambazo zinaweza kutumiwa na jamii, sekta ya kibinafsi na serikali. Hayo yakijiri maskwota wanaoishi katika ardhi inayokumbwa na mzozo ya JM Kariuki katika kaunti ya Nyandarua, imeishukuru familia ya marehemu mwanasiasa huyo kwa kuwapa ekari 90 za ardhi kwa ajili ya makazi baada ya mzozo wa kisheria wa miaka 52, kuhusu umiliki wa mali hiyo. Mengi zaidi ni katika mseto wa kaunti
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive