Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini: Shughuli kwenye barabara kuu ya Migori-Isebania zalemazwa

  • | KBC Video
    125 views
    Duration: 4:40
    Shughuli kwenye barabara kuu kati ya Migori na Isebania zimelemazwa baada ya wahudumu wa matatu na wafanyibiashara kufunga njia ya iliyojengwa kando ya daraja la Migori lililoharibika.Wahudumu hao walisema wamegadhabishwa na kucheleweshwa kwa ukarabati wa daraja hilo,wakidai maafisa husika wamekimya licha kuathirika kwa shughuli za kibiashara na uchukuzi kutokana na daraja hilo mbovu.Mengi zaidi kwenye mseto wetu wa habari za kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive