- 3,832 viewsDuration: 2:41Magavana kutoka kaunti tatu za Mlima Kenya wamemkashifu gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kuhusiana na matamshi yake tata kuhusu kifo cha hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Magavana hao wakiyataja matamshi ya gavana Mutahi kuwa yasiyo adabu.