Skip to main content
Skip to main content

Magavana wa Mlima Kenya wakemea kauli za gavana wa Nyeri Kahiga kuhusu kifo cha Raila Odinga

  • | Citizen TV
    2,319 views
    Duration: 2:31
    Magavana kutoka kaunti tatu za mlima Kenya wamemkashifu gavana wa Nyeri Mutahi Kahiga kuhusiana na matamshi yake tata kuhusu kifo cha hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga. Magavana hao wakiyataja matamshi ya gavana Mutahi kuwa yasiyo adabu