30 Mar 2026 8:01 pm | Citizen TV 336 views Duration: 1:13 Katika juhudi za kujenga mshikamano zaidi kati ya maafisa na kupambana na maswala ya kijamii, idara ya magereza sasa inahimiza ushirikiano wa maafisa wake katika michezo.