Magonjwa ya shinikizo la damu na kisukari yaongezeka kwa kiasi kikubwa katika kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    1,159 views

    Magonjwa ya shinikizo la damu na kisukari yameongezeka kwa kiasi kikubwa katika kaunti ya Lamu, huku takwimu zikionyesha ongezeko la zaidi ya asilimia 10% ikilinganishwa na mwaka 2023. Hii ni kutokana na kutozingatia lishe bora. Abdulrahman Hassan na Maelezo Zaidi