11 Dec 2025 10:50 am | Citizen TV 665 views Duration: 1:50 Wafungwa 65 katika Gereza la Kitale Annex wamehitimu baada ya kupata mafunzo ya kiufundi katika mahafali yaliyofanyika ndani ya uwanja wa gereza hilo.