Mahakama kuu imekatalia mbali ombi la kusikiliza rufaa 9

  • | KBC Video
    26 views

    Mahakama kuu imekatalia mbali ombi la kusikiliza rufaa 9 zilizojumuishwa pamoja kupinga uwaniaji wa watu ambao uadilifu wao unatiliwa shaka. Jopo la majaji watatu, David Majanja, Chacha Mwita na Mugure Thande lilisema kwamba walalamishi hawakuzingatia utaratibu ufaao kwani masuala kama hayo yanapaswa kusikilizwa na kutatuliwa na tume ya uchaguzi kabla ya kuwasilishwa mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #mahakama #rufa #uadilifu