Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuu Uganda yaagiza serikali kuwawasilisha wanaharakati wawili wa Kenya waliootekwa Kampala

  • | Citizen TV
    1,195 views
    Duration: 1:12
    Mahakama kuu ya Uganda imetoa agizo kwa serikali ya uganda kuwawasilisha wanaharakati wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo chini ya siku saba baada ya kutoweka kwao jijini Kampala wiki mbili zilizopita. Haya yamejiri huku kinara wa PLP Martha Karua akishinikiza serikali kuhakikisha wakenya hao wawili wameachiliwa huru, huku akkashifu wizara ya mashauri ya kigeni kwa kufeli katika majukumu yake ya kutetea wakenya