- 1,696 viewsDuration: 1:26Mahakama kuu ya Uganda imetupilia mbali kesi iliyowasilishwa ikitaka asasi za usalama kuwawasilisha wanaharakati wa Kenya Bob Njagi na Nicholas Oyoo waliotoweka Kampala. Katika uamuzi wake, jaji Simon Peter alisema aliridhishwa na maelezo ya maafisa wa usalama kuwa hawajui waliko