11 Dec 2025 7:44 pm | Citizen TV 856 views Duration: 41s Mahakama kuu imesitisha utekelezwaji wa makubaliano kati ya Kenya na Marekani kuhusu mkataba wa msaada wa afya wenye thamani ya shilingi bilioni 200.