13 Mar 2026 10:13 am | Citizen TV 2,456 views Duration: 1:59 Mahakama mjini Kisii imewaachilia kwa dhamana askari 10 wa kaunti ya Kisii ambao wamekuwa wakizuiliwa korokoroni kwa madai ya wizi na uharibifu wa mali ya mfanyibiashara mmoja kaunti hiyo.