27 Oct 2025 1:25 pm | Citizen TV 1,329 views Duration: 2:03 Mahakama ya Makadara imepunguza dhamana ya washukiwa watano waliokamatwa wakati wa maandamano ya tarehe saba mwezi wa saba kutoka shilingi laki moja hadi shilingi elfu thelathini.