28 Oct 2025 10:57 am | Citizen TV 653 views Duration: 1:41 Kufuatia msongamano na unaozidi kuongezeka katika magereza mbalimbali kati ka Kaunti ya Murang’a, Mahakama imeanza kuimarisha utendakazi katika shughuli za mahakama kupitia mageuzi ya kidijitali.