- 1,381 viewsDuration: 2:44Mahakama kuu imeruhusu kusikizwa kikamilifu kwa kesi ya kutoweka kwa wakili Abshir Ahmedsadak Abdi ikisema asasi za kiusalama zina jukumu la kujua aliko wakili huyo. Jaji Alexander Muteti akisema ushahidi uliotolewa na maafisa wa usalama ulionyesha wazi kuwa wakili Abshir alikuwa akipigwa darubini na serikali. Haya yamejiri huku chama cha mawakili kikiendelea kutaka majibu na mawakili kuandamana hapa Nairobi, kama Gatete Njoroge anavyotuarifu.