Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yaahirisha uamuzi wa ombi la dhamana la Njeri aliyeshtakiwa kwa kumjeruhi mtoto wa miaka-7

  • | KBC Video
    306 views
    Duration: 2:42
    Mahakama ya Nairobi imeahirisha uamuzi wa kutoa dhamana kwa mwanamke aliyeshtakiwa kwa kumsababishia madhara makubwa mtoto mdogo, ikisubiri ripoti ya kabla ya dhamana ili kutathmini hali ya mwathiriwa na mshtakiwa. Mary Njeri Makumi anadaiwa kusababisha majeraha makubwa kwa mtoto wa miaka saba katika tukio linalosemekana kutokea Siku ya Mwaka Mpya huko Upper Hill, Nairobi. Letuaa Debra anasimulia zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive