28 Nov 2025 1:35 pm | Citizen TV 401 views Duration: 1:15 Mahakama moja jijini Nairobi imeamua kwamba kesi ya jinai inayohusiana na madai ya wizi wa Ksh milioni 10.5 itaendelea kusikilizwa, licha ya ombi la upande wa mashtaka kutaka kesi hiyo ihamishiwe Kitengo cha Biashara.