- 4,554 viewsDuration: 1:14Mahakama imeamuru wanafunzi wanane wa shule ya upili ya wasichana ya Utumishi wanaokabiliwa na mashtaka 16 ya mauaji kufuatia mkasa wa moto ulioteketeza bweni na kuwaua wanafunzi wenzao 16, kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya