Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yabatilisha uuzaji wa asilimia 15 ya hisa za Safaricom

  • | Citizen TV
    1,648 views
    Duration: 3:12
    Mahakama imebatilisha uuzaji wa asilimia 15 ya hisa zinazomilikiwa na serikali katika kampuni ya Safaricom, ikisema mchakato huo ulifanywa kinyume cha Katiba kwa kutowashirikisha wananchi kikamilifu. Majaji watatu wameamuru hisa hizo zilizokuwa zikiuzwa kwa kampuni ya Vodacom ya Afrika Kusini zirejeshwe kwa serikali ya Kenya, huku makubaliano yote yaliyofanywa yakibatilishwa.