Mahakama yasitisha ujenzi wa hoteli iliyokuwa ikiendelea katika msitu wa Karura

  • | NTV Video
    294 views

    Mahakama ya Ardhi na Mazingira Nairobi imeamua kuwa ni eka sifuri nukta tatu pekee ya ekari hamsini na moja iliyotengwa na serikali kwa minajili ya kupanua barabara ya Kiambu itachukuliwa na Mamlaka ya Barabara Kuu Nchini (KeNHA) kwa shughuli ya upanuzi wa barabara hiyo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya