Mahakama yasitisha usaili wa makatibu wateule 51

  • | Citizen TV
    712 views

    Mahakama kuu imesitisha zoezi la kuwapiga msasa makatibu wateule wa wizara mbalimbali hadi kesi iliyowasilishwa na chama cha mawakili nchini LSK kusikizwa. Hata hivyo shughuli ya kuwasaili walioteuliwa iliendelea bungeni huku wenyekiti wa kamati zilizokuwa kwenye ratiba wakisema hawakuwa wamepata agizo la mahakama