Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yasitisha usajili wa polisi wapya kufuatia kesi iliyowasilishwa na Harun Mwau

  • | Citizen TV
    4,628 views
    Duration: 2:26
    Mahakama imepiga breki zoezi la usajili wa maafisa wapya wa Polisi iliyofaa kufanyika ijumaa kote nchini. Uamuzi huu umefuatia kesi iliyowasilishwa na mfanyabiashara Harun Mwau kuhusu jukumu la tume ya huduma za polisi katika zoezi hili. Hata hivyo, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amekosoa mahakama kwa kile anasema ni kuingilia kati shughuli hiyo