Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yatoa uamuzi kuunga mkono wafanyakazi vibarua

  • | KBC Video
    242 views
    Duration: 1:36
    USHINDI KWA WAFANYAKAZI VIBARUA Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini (COTU) umepongeza uamuzi uliotolewa na mahakama ya ajira na mahusiano ya kikazi ya Mombasa,uliowaunga mkono wafanyakazi vibarua walioajiriwa na kampuni za uajiri humu nchini. Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli amesema kuwa uamuzi huo unatoa nafasi kwa wafanyakazi kama hao kujiunga na vyama vinavyowafaa na kuafikia makubaliano ya pamoja ambayo yatahakikisha kwamba wanapata mishahara yao inavyostahili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive