Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yatupilia mbali ombi la fidia kwa waathiriwa wa mkasa wa bomu wa 1998

  • | KBC Video
    200 views
    Duration: 3:01
    Mahakama kuu imetupilia mbali ombi la waathiriwa wa mkasa wa bomu wa mwaka 1998 katika ubalozi wa Marekani jijini Nairobi waliotaka kufidiwa na serikali ya Kenya kwa kukosa ushahidi wa kutosha. Jumla ya walalamishi 201 walitaka fidia ya shilingi milioni tano kila mmoja kwa manusura na shilingi milioni 10 kwa kila familia iliyopoteza mpendwa. Letuaa Debra na taarifa hii kwa kina katika kitengo cha mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive