- 12,132 viewsDuration: 1:19Majengo ya mahakama katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka, na maeneo mengine yamefungwa huku muda wa mwisho wa kuwasilisha malalamiko dhidi ya matokeo ya uchaguzi wa hivi karibuni wa urais ukikaribia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw