12 May 2026 2:34 pm | Citizen TV 143 views Duration: 1:57 Wajane wa kiume katika eneo la Chemelil, Kaunti ya Kisumu, wamelalamikia serikali wakidai imewapuuza huku wakikabiliwa na mzigo mkubwa wa kuwalea watoto wao.