Mahitaji ya IEBC kwa wawaniaji wa nyadhifa mbali mbali

  • | K24 Video
    36 views

    Wawaniaji wa nyadhifa mbali mbali za kisiasa zikiwemo urais na ugavana wenye stakabadhi zenye dosari wana kila sababu ya kuhofia baada ya tume ya elimu ya vyuo vikuu kukariri haitamsaza yeyote. Tume hiyo inatarajiwa kupokea stakabadhi hizo kutoka kwa tume ya uchaguzi na mipaka nchini, IEBC.