Skip to main content
Skip to main content

Maisha yanaweza kubadilika ghafla, lakini je, tunachaguaje kuanza upya?

  • | BBC Swahili
    10,302 views
    Duration: 2:12
    Maisha yanaweza kubadilika ghafla, lakini je, tunachaguaje kuanza upya? @shikowamachuma alikumbana na changamoto hiyo baada ya ajali ya treni iliyosababisha kupoteza miguu yake yote miwili. Badala ya kukata tamaa, aliamua kuanza maisha upya na sasa ananyanyua vyuma, mchezo unaompa nguvu na sababu ya kutabasamu kila siku. - - #bbcswahili #waridiwabbc #ulemavu #ujasiri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw