Skip to main content
Skip to main content

Majaji wapya wa mahakama ya rufaa waapishwa

  • | KBC Video
    572 views
    Duration: 2:28
    Rais William Ruto ametoa changamoto kwa idara ya mahakama kufafanua nafasi ya manifesto zinazopigiwa kura na wakenya wakati wa uchaguzi mkuu. Rais amesema vizingiti vya kisheria vimezuia utekelezaji wa ahadi muhimu zinazotolewa kwa wakenya wakati wa kampeni za uchaguzi. Aliyasema hayo alipoongoza hafla ya kuapishwa kwa majaji wapya wa mahakama ya rufaa katika Ikulu ya Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive